Polisi Mkoani Arusha Yatoa Matibabu na Ushauri wa Kiafya kwa Wazee
JESHI la Polisi la Mkoa wa Arusha limetoa huduma ya matibabu na ushauri wa kiafya katika kituo cha AST maalumu kwa ajili ya kuwalea wazee wanaoishi katika mazingira magumu Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi…
