The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

aunt

Aunt, Wolper Wamaliza Bifu

LILE bifu lililokuwa bab’kubwa kati ya waigizaji Aunt Ezekiel na Jacqueline Wolper, limezikwa rasmi na sasa wawili hao wanaishi vizuri. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, wawili hao walipatanishwa kwenye hafla ya Komunio ya mtoto…

Daktari Ampiga Stop Aunt

DAKTARI maarufu wa magonjwa ya wanawake jijini Dar, amempiga ‘stop’ staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akimtaka kuacha kuzurura, badala yake atulie nyumbani kwa sababu siku za kujifungua zimekaribia hivyo si vyema kuzurura kwenye…

Kiduku: Nimetimiza Ahadi Yangu

BONDIA wa ngumi za kulipwa hapa nchini anayepigana kwenye uzito wa Super Welter, Twaha Kassim ‘Kiduku’ amesema anashukuru kwa kuweza kutimiza ahadi yake ya kumchapa kwa TKO bondia Mthailand, Sirimongkhon Singwancha Lamthuam usiku wa…

Mimba ya Aunt Hatarini!

KITENDO cha staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kunaswa ‘club’ ya starehe ya usiku akigida pombe za hatari ilihali ni mjamzito wa kujifungua muda wowote, kimeibua gumzo kubwa juu ya hatari ya kuchoropoka kwa mimba hiyo. …

Mikwara ya Aunt kwa Iyobo usipime

MAPENZI ya awamu ya pili yananoga eeh? Hii imedhihirishwa na staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye ametoa kali kwa kusema kama unataka kushushiwa vita ya pili ya dunia, basi mwanamke yeyote ajitokeze amchukue mpenzi wake, Moses…

Aunt: Kweli Nimempa Wema Mtoto!

DAR: Kweli ushoga kazi! Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amekubali kumpa staa mwenzake, Wema Isaac Sepetu, mwanaye Cookie aliyezaa na mpenzi wake, Moses Iyobo ‘Moze’. Aunt ameliambia Gazeti la Ijumaa kuwa, amempa Wema…

Bwana wa Aunt Atoa la Moyoni

AMEFUNGUKA! Mchumba mpya wa staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel, Alfo ameweka wazi kuwa hakuna mwanamke anayemzimikia kwenye hii dunia kama mwigizaji huyo. Kijana huyo raia wa Ivory Coast ambaye kapanda hewani, amesema Aunt ni…

AUNT AFUNGUKA KUMSALITI IYOBO

VUNJA ukimya! Baada ya mapichapicha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii yakimuonesha staa mkubwa wa Bongo Movies, Aunt Ezeikiel Grayson akiwa na bwana’ke mpya, mengi yamezungumzwa likiwemo suala la kumsaliti mzazi mwenzake, Moses Iyobo…

MASTAA HAWA, GUSA UPOTEE

PENYE wengi pana mengi. Kila uchwao katika ulimwengu wa mastaa kuna mengi yanayotokea yakiwemo mazuri na mabaya, ya kufurahisha na kuhuzunisha. Wapo baadhi ya mastaa hasa wa kike ambao wanapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume…