The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

baba levo

Baba Levo: Niuweni

KOMEDIANI ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Clayton Chipando almaarufu Baba Levo anasema kuwa, endapo ngoma yake ya Hellow haitatrendi, basi watu wamuue. Alhamisi iliyopita, Baba Levo alisema kuwa, anatarajia kuachia ngoma hiyo mpya.…

PhD ya Baba Levo ya Mchongo?

MWEZI mmoja uliopita, Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku almaarufu Msukuma alitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Siasa na Uongozi (Honorus Causa in Politics and Leadership) na Chuo cha Academy of Universal Global Peace…

Baba Levo: Rayvanny Amenibeba

MSANII kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Clayton Chiponda ‘Baba Levo’ amemwaga shukrani kwa msanii toka pande za Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ na kusema kuwa ndiye msanii aliyemrudisha kwenye gemu baada ya kukaa…

Baba Levo Aongezewa Hukumu Jela

 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kigoma imemuongezea hukumu Diwani wa Kata ya Mwanga (ACT-Wazalendo), Clayton Chipando 'Baba Levo',  kutoka miezi mitano aliyopewa awali hadi mwaka mmoja. Baba Levo alikata rufaa kupinga adhabu ya awali kwa kosa la…