‘BABA’ JOKATE AFUNGUKA YA MOYONI
'BABA' mzazi katika filamu ya ‘Chumu’ aitwaye, Jafari Dionizi amemzungumzia mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ambaye ameapishwa jana ya kwamba nyota yake ya kuwa kiongozi ilianzia katika…
