BARAKA THE PRINCE: NAJ kawazidi Nisha, Meninah
MSANII wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Baraka The Prince’ amesema anajivunia kuwa na mpenzi wake wa sasa,Naj kwa sababu ni msichana mrembo na mwenye mvuto machoni pa watu wengi ambaye ana maadili mema na ndiyo maana hata penzi lao…
