Ndinga za Bei Chee Kuuzwa Hadharani, Ruksa Kuchagua Gari Utakalo – Video
KILA Jumamosi, ndinga mpya za bei chee zinaanikwa! Kampuni ya Udalali ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd iliyopewa idhini na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya kupiga mnada mali zilizotelekzwa bandarini na zile ambazo wateja…
