Beka Ibrozama: Ruge alinibadilisha kimuziki
MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutikisa na Ngoma ya Natumaini, Beka Ibrozama amesema hakuna kitu ambacho hatakisahau katika maisha yake kama kubadilishwa kimuziki na aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds…
