Mshindi BSS ni wa mchongo?
MSHIRIKI kutoka Dar, Brayson Yohana ameibuka Mshindi wa Shindano la 12 la kusaka vipaji (Bongo Star Search – BSS) msimu wa 2021/22 na kukabidhiwa kitita cha shilingi milioni 20 na zawadi nyingine mbalimbali kutoka kwa wadhamini tofauti…
