Familia yamlilia mwanafunzi Mtanzania aliyefariki Marekani
"TUMEPOKEA taarifa hizi kwa masikitiko makubwa. Alipenda sana masuala ya utabibu, na alienda Marekani kupata mafunzo na kutekeleza ndoto zake," imeeleza familia ya kijana Allen Buberwa, ambaye amefariki nchini Marekani…
