DAWASCO Kuwatibu, Kuwalipa Fidia Waathirika wa Moto wa Gesi Buguruni
MAMLAKA ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa na moto uliosababishwa na kupasuka kwa bomba la gesi eneo la Buguruni kwa Mnyamani wakati mafundi wake wakifanya kazi.…
