Watu wa Buza Wanataka Gari
WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wa maeneo ya Buza na maeneo ya Kijiwe Samli wamejinasibu kununua kwa wingi magazeti ya Championi na Spoti Xtra ili washiriki kwa wingi Bahati Nasibu ya 'Baba Lao' inayoendeshwa na magazeti hayo ambapo…
