Misosi Afungukia Kilichompoteza
WAKATI mwanamuziki Joseph Rushahu a.k.a Bwana Misosi anafanya kolabo na wanamuziki kutoka Kenya, Redson na Chameleone wa Uganda iitwayo Heshima, hakukuwepo lindi la wanamuziki kupiga kolabo nje ya mipaka ya Bongo kama ilivyo sasa.…
