BREAKING: BWENI LATEKETEA KWA MOTO MERU KWA DC MURO – VIDEO
Bweni la Shule ya Sekondari Mlangarini iliyopo katika wilaya ya Meru limeungua moto asubuhi ya leo na kusababisha kuteketea kwa vifaa vya wanafunzi vya shule pamoja na kuungua kwa Vitanda na Magodoro.
Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu, Elisa…
