Video: C Pwaa Azikwa Makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni, Dar
MAZIKO ya Msanii wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa yamefanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni, Dar es salaam. Cpwaa amefariki usiku wa kuamkia leo Januari 17, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.…
