Magari ya Angani Kufungwa Mlima Kilimanjaro
SERIKALI a imeruhusu ufungwaji wa magari yanayotumia nyaya angani (cable cars) katika Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika ili kuchochea utalii.
Akizungumza na wahariri na waandishi wa habari waandamizi jijini…
