Kongamano la USAGM/VOA 2022 Lilivyowakutanisha Viongozi wa Vyombo vya Habari Nchini Afrika Kusini
SHIRIKA la Habari la Sauti ya America (VOA) kwa kushirikiana na bodi ya Utangazaji ya Marekani (USAGM) na Shirika la Utangazaji la Global Press, wameendesha kongamano la namna bora ya kuimarisha vyombo vya habari kwa washirika wake wa…
