Moloko Apewa Mikoba ya Carlinhos Yanga
WINGA mpya ndani ya Yanga, Jesus Moloko, amekabidhiwa rasmi mikoba ya Carlos Carlinhos katika suala zima la kupiga mipira iliyokufa.
Msimu uliopita, Carlos Carlinhos ambaye aliomba kusepa ndani ya kikosi cha Yanga kabla ya…
