Mwanaharakati aliyepotea Kenya akutwa mochwari amefariki
POLISI nchini Kenya wamesema kuwa uchunguzi wa awali uanaonyesha kuwa kifo cha mwanaharakati maarufu, Caroline Mwatha, kimetokana na kutoa ujauzito wa miezi mitano.
Mara ya mwisho kwa mawanaharakati huyo kuonekana…
