Boris Johnson na Carrie Wapata Mtoto Mwingine Ndani ya Miezi 20
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson na mkewe Carrie Johnson wametangaza kuzaliwa kwa binti, mtoto wao wa pili tangu awe waziri mkuu. Carrie ameijifungua mtoto huyo katika Hospitali ya London mapema leo Alhamisi, na Johnson alikuwa…
