TEKNOLOJIA YA MAGARI YANAYOJIENDESHA BILA DEREVA
KWA miaka nenda rudi, udereva ni fani inayoheshimika na wengi. Katika pilikapilika za kila siku, umuhimu wa kazi ya udereva unajidhihirisha waziwazi, ukipanda daladala unamtegemea dereva akufikishe salama, kama una gari lako unategemea…
