Mashabiki Wa Manchester United Wakasirishwa na Kiwango cha Casemiro Kwenye Mchezo Dhidi ya Real…
MASHABIKI wa Manchester United wakasirishwa na kiwango cha kiungo wao mkabaji Casemiro ambae alionesha kiwango duni siku ya jana katika mchezo dhidi ya Real Sociedad ambapo Manchester United walipoteza mchezo kwa 1-0.
Kocha…
