BAADA YA KUFIWA NA MAMA WATOTO, DIDY ANG’OA KIFAA KINGINE
Siku moja baada ya mama watoto wa Diddy, ‘Kim Porte’ kufariki Dunia, rapa huyo ameonekana Los Angeles akiwa na mwanadada Cassie Ventura (32) ambaye waliachana Oktoba mwaka huu.
Camera ziliwanasa Ijumaa iliyopita, Novemba 16, 2018…
