TIMU 32 ZA MASHINDANO YA SOKA YA 5s ASIDE KUPATIKANA WIKI HII
Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitaa bia yake ya Castle Lager kwa mara nyingine tena imekuja na mashindano ya “Castle Lager 5s Aside”(wachezaji watano watano kila upande) msimu wa pili jijini Dar es Salaam utakaoshirikisha takribani Bar…
