Walioongoza Harakati za Kujitenga kwa Catalonia Yawakuta
JAJI nchini Uhispania amewazuia rumande viongozi wakuu wawili wa harakati za Uhuru wa Catalonia. Jordi Sánchez, ambaye anaongoza bunge la Catalonia na Jordi Cuixart, kiongozi wa vuguvugu la Omnium Cultural, wanazuiwa huku wakifanyiwa…
