Kufungiwa Nyimbo za Diamond Kwazua Gumzo Bungeni – Video
MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amehoji kufungiwa baadhi ya nyimbo za staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', wakati kamati ya maudhui ilikuwepo na kuziacha nyimbo hizo zikaenda…
