Washindi Benki ya CBA Promosheni ya Weka Amana Wapatikana
WASHINDI wawili wa promosheni ya ‘Weka Amana Ushinde’ kutoka Benki ya CBA leo wamepatikana na kujishindia fedha ambapo mkazi wa Dar es Salaam, Dkt. Julieth Kileo alijishindia kiasi cha Shilingi Milioni moja na kwa upande wa…
