BREAKING: Mtatiro Ajiondoa CUF, Ajiunga CCM -VIDEO
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro amejivua uanachama wa chama hicho nakujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akisema kuwa huu ni wakati wake…
