Rasmi Mbio za Rotary Dar Marathon zazinduliwa
KLABU saba za Rotary za jijini Dar kwa kushirikiana na Benki M mapema leo Jumatano zimefanikiwa kuzindua mbio na matembezi ya Rotary Dar Marathon zitakazofanyika Oktoba 14 mwaka huu kwenye Viwanja vya Greens Oysterbay…
