Namungo Yalamba Milioni 635, Yatinga Makundi
LICHAya kwamba wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Namungo FC, jana Alhamisi walipoteza mechi yao ya marudiano dhidi ya CD de Agosto ya Angola, lakini hilo haliwakuwazuia kufuzu hatua ya makundi ya kombe hilo.…
