MAKONDA AISAPOTI KAMPUNI YA UKAMATAJI KAZI ZA WASANII
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipiga jeki Kampuni ya Msama Auction Mart inayojishughulisha na ufuatiliaji na ukamataji wezi wa kazi za wasanii kwa kuchoma CD feki.
Akizungumza na waandishi wa habari…
