Chilunda wa Azam FC Asajiliwa Hispania
MWANASOKA chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Shaaban Iddi Chilunda ametambulishwa rasmi Klabu ya CD Tenerife ya nchini Hispania kuwa mchezaji wao mpya kuanzia sasa baada ya kukamilisha usajili wa kuitumikia klabu hiyo.…
