Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Tanzania Afariki kwa Ajali ya Ndege
NELSON MABEYO, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo, ni mmoja wa watu wawili waliofariki katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Auric iliyotokea leo asubuhi Jumatatu Septemba 23, 2019.…
