Chelsea Yatangaza Kuachana na Mshauri wa Benchi la Ufundi Petr Cech
KLABU ya Chelsea kupitia tovuti yake imetangaza kuwa mshauri wa benchi la ufundi Petr Cech ataondoka klabuni hapo mnamo Juni 30.
Tangu kuteuliwa kwake miaka mitatu iliyopita Cech amefanya kazi nzuri ya ushauri kwenye benchi…
