CEED TANZANIA YATOA MAFUNZO YA KUKUZA, KUSIMAMIA BIASHARA
Kituo cha Ujasiriamali na Maendeleo ya Utendaji (CEED), kimewakutanisha wajasiriamali mbalimbali jijini Dodoma katika semina iliyolenga kutoa elimu ya usimamizi na ukuzaji biashara zao ndani ya jiji la hilo.…
