Mbunge Godbless Lema Alaani Ubaguzi Aliofanyiwa Msibani Arusha
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Godbless Lema ametoa masikitiko yake na kuonyesha kuumizwa na kitendo alichofanyiwa jana wakati wa kuaga miili ya wanafunzi, walimu na dereva waliofariki katika ajali ya basi.…
