Kisa Mdude Chadema, Mbunge Akamatwa Dodoma
Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga (Chadema), amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Dodoma jana Jumatatu Mei 6, wakati akitoka kuhudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea.
Akizungumzia tukio hilo, Katibu wa Wabunge wa Chadema, David…
