Chagonja ateuliwa kuwa Kamishna Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Paul Chagonja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi na kumteua Kamishna Paul Chagonja kuwa Kamishna…
