ALIKIBA KUMDONDOSHA YVONNE CHAKACHAKA
KING wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kwamba atafanya shoo mbili za kufanga mwaka jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa na muimbaji mkongwe, Yvonne Chakachaka kutoka Afrika Kusini.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,…
