Kijue Chakula Anachotakiwa Kula Mjamzito – Video
KIPINDI cha ujauzito ni kipindi ambacho mama mtarajiwa anatakiwa kupata mlo ulio kamili kwa muda sahihi na kiwango kinachotakiwa. Mlo kamili hutokana na vyakula mchanganyiko kutoka kwenye makundi yote muhimu ya vyakula. Kwenye makala…
