NBC Bank Yawagusa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Chalinze
Chalinze, Pwani: September 21, 2020: Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi ya Chalinze mkoani Pwani wamehimizwa kusoma kwa juhudi ilikutengeneza maisha yao ya baadaye huku wakipewa changamoto ya kujitahidi kilawakati…
