UTACHEKA! Kutana na Bibi Msela, Chalii wa Arusha, Mjanja Kuliko Wote – Video
Kutana na Bibi maarufu katika jiji la Arusha mwenye misemo yote ya vijana wa Arusha. Bibi huyu ni mfanyabiashara ya ndizi anaefahamika kwa jina maarufu kama Chalii wa AR na Muda wote huwa anatabasamu usoni mwake hasa anapowahudumia wateja…
