Rungwe: Sera Yetu ni ‘Ubwabwa Kwanza’ – Video
MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Spunda Rungwe ameendelea kukazia kuwa sera ya Chama chake katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ni kuhakikisha wanafunzi mashuleni wanapata chakula ili wawe na afya…
