Niyonzima: Sasa Msuva Atakuwa Mfungaji Bora
Mshambuliaji wa timu ya Yanga.
Wilbert Molandi | Championi Jumatano
NAHODHA na kiungo mchezeshaji wa Yanga Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amejiapiza kuwa, kwa mfumo huu aliokuja nao kocha mkuu wa timu hiyo Mzambia, Goerge Lwandamina…
