Serikali Yaibukia ‘Sabuni za Sumu Bongo’
JAMANI kumekucha! Ile skendo ya mjasiriamali, Andrew Mpambazi kuwa anatengeneza na kusambaza sababu za sumu imezidi kuwa nzito.
Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa, serikali imeingilia kati suala hilo na kwamba imechukua…
