Kisa Madawa, Msanii Akiri: ‘Nilijaribu Kujiua’
MSANII wa muziki nchini Uganda, Jackie Chandiru, ambaye aliwahi kupambana na uraibu wa kutumia dawa za kulevya, amerejea tena katika ulingo wa muziki.
Msanii huyo wa kibao kilichotamba cha Golddigger ametoa wimbo mpya kwa…
