Kongowe, Chang’ombe Mabingwa wa Bonanza la AICT Temeke
TIMU ya mpira wa miguu kutoka Afrika Inland Church (AIC) Kongowe, imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Bonanza la makanisa yote ya AICT Jimbo la Temeke, mara baada ya kuifunga timu ya AIC Mbande kwa bao 1-0.
Aidha wa upande wa…
