Bamia Inavyoweza Kuondoa Chunusi Usoni
Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| DONDOO ZA UREMBO
WIKI hii kwenye urembo tutaongelea mboga aina ya bamia jinsi inavyotibu chunusi na kuziondoa moja kwa moja. Mbali na chunusi, pia husababisha ngozi kuteleza na kuwa nyororo.…
