Video: Mama Alalamika Nina Miaka 60 Sijawai Kusimama, Nimekimbiwa
GLOBALJAMII wiki imekutana na Rehema Abdala (60) Mkazi wa Chanika Jijini Dar es Salaam ambaye kwa sasa anapitia magumu kutokana na viungo vyake kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi vikiwemo Mikono na Miguu hali inayomlazimu kusota badala…
