Msafara wa Mkuu wa Wilaya Washambuliwa
MSAFARA wa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey Mheluka uliokuwa katika operesheni ya kuwaondoa watu wanaodaiwa kuvamia maeneo ya wafugaji katika Kijiji cha Kashanda, Kata ya Nyakahanga, umeshambuliwa na watu wasiojulikana.
Katika…
