Ripoti ya CAG Yabaini Dosari Matumizi za Fedha – Video
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere imeendelea kubaini dosari ya matumizi za fedha yanayofanywa na taasisi na mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa.
CAG amesema kati ya hati 900…
